Shilinde_·Oct 14, 2018TUNDA MAN: MGUNDUZI WA KIPAJI CHANGU.Makamua nae ni sehemu ya “nakshi” ya kurasa za “uhunzi” wangu.
Shilinde_·Oct 10, 2018AKILI.Na kwa taarifa yako hata Biblia inatambua nafasi ya AKILI na pia imeonyesha mara kibao tu namna AKILI imetumika kutekeleza malengo kadha wa…
Shilinde_·Sep 22, 2018TABIA YA KUJIULIZA KABLA.Nina mifano mingi sana inayonihusu moja kwa moja kuhusiana na kufanya jambo/mambo kutokana na kujiuliza kwanza, haijalishi matokeo yake…
Shilinde_·Apr 4, 2018Kifo."Nimekuwa kwenye matatizo ya ndoa kwa miaka 4, kila wiki nikipambana na mke mlevi na mzinzi......Sasa nipumzike nimwache mke wangu Eng…
Shilinde_·Mar 30, 2018SOMO.“Wiki iliyopita uliongea kitu ambacho kilinigusa sana Shilinde, na sijui kama ulifanikiwa kupata msaada!", "Unaongelea kitu gani kaka?!"…
Shilinde_·Mar 29, 2018Bora Wewe Lyrics[Chorus] 👇 [Bora wewe sio wale, bora hapo sio pale/ Kila leo fursa, unaishi sasa sio kale/ Kila leo kufa ni kunusa, maafa tele/ Ukiponea…
Shilinde_·Mar 29, 2018FUNZO TOKA KWA BABA (R.I.P)16.12.2007 ulifariki dunia, ukawa mwisho kabisa wa safari yako ya hapa duniani, na ndio ukawa mwanzo wa safari nyingine kabisa isiyo na…
Shilinde_·Mar 24, 2018NACHOKIONA.Katika historia ya maisha ya binadamu, kizazi chetu kiko hatua ambayo ni ya juu sana hasa katika maendeleo ya kiteknolojia kiasi kwamba…